Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.
Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
Ndugu zangu!
Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.
Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.
Lakini...
Dah!
Kuna habari nimeiona BBC inaongelea kuhusu uhitaji wa bangi kwenye nchi za wenzetu kwa matumizi ya dawa nikahuzunika!
Watu wanaohitaji hii kitu ni wengi, Demand ni kubwa kuliko supply na hela wanatoa kupata kimsokoto ni kubwa sana. Which is a benefit for the farmers! Kwanini hatuioni hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.