Dah!
Kuna habari nimeiona BBC inaongelea kuhusu uhitaji wa bangi kwenye nchi za wenzetu kwa matumizi ya dawa nikahuzunika!
Watu wanaohitaji hii kitu ni wengi, Demand ni kubwa kuliko supply na hela wanatoa kupata kimsokoto ni kubwa sana. Which is a benefit for the farmers! Kwanini hatuioni hii...