kuhamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  2. M

    Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  3. Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  4. Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

    Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
  5. Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

    Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM. Moja ya mke wake si Mbunge...
  6. Kama Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenda wake mtafanya nini? Mtakubali matokea au kuhama chama?

    Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini? Je mtabaki au kutawanyika ima kuunda chama kipya kama alivyofanya Zitto Kabwe au kwenda uchawani? Are...
  7. MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.
  8. Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  9. Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  10. Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  11. Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  12. Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

    Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa Sasa Napumzika ubishi wa Simba na Yanga Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu Mijadala ya...
  13. Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  14. Wanachama 260 CCM Jimbo la Mtama kuhamia ACT. Kuna Nini nyuma ya pazia?

    Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA. Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni Mtama mkoa wa Lindi walihamia ACT. Kwa wanaofahamu Jimbo la Mtama Mbunge aliyeko sio wa ACT au Chadema...
  15. Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  16. Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka Au mwenye...
  17. Je, inawezekana kuhama kituo cha kazi toka Taasisi ya Umma kwenda Halmashauri?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje? Naomba kuwasilisha. Ahsante
  18. G

    Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  19. Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  20. Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

    Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…