Habari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga...
Gari imekaza.
Gari inatembea mwendo mdundo
Haina shida wala kelele
Njoo na Mil 2 nikuachie
sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.
imebaki hii tu
INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
Habari wadau,
Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini Uingereza.
Inasemekana wakala wa mshambuliaji huyo Jorge Mendes anajaribu kuangalia uwezekano wa kufanya...
Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG
10 hours ago / autty
Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that...
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
Wakuu habari zenu!
Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection.
Asante.
Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni Mwalimu mwenye degree, mwenye kupenda maendeleo na Kipat0 kinachoendana na kazi yangu. Na sina connection
Kituo changu cha kazi ni Halmashauri iliyopo kusini mwa Tanzania. Shule yangu iko mjini chini ya wizara ya TAMISEMI
Nimekuwa interested...
Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge
pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
Wana bodi hebu saidieni,
Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga.
Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo
Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya
Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge.
Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.
Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.