Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat?
Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana.
Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema.
98% ya...
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
--------
Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
Salaam Wakuu,
Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.
Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.
Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
Heri ya siku kuu na mapumziko,
Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro.
Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo.
Unakuta
-Mke anakunyima game maksudi kabisa
- Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa
-Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma.
....
Na hurusiwi ongeza mke.
hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
Habari zenu wadau wa JF siasa.
Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025
Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe!
Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
Habari wakuu,
Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.
Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.