kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

    Habari wananchi. Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu. Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake. Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam...
  2. O

    Ni kosa kuharibu alama za mipaka (beacons)

    Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu Na.11 na Na.12 vinatoa adhabu ya Faini au kifungo au Vyote kwa pamoja na kugharamia alama...
  3. BARD AI

    Marekani: Kimbunga IAN chaua watu 45 na kuharibu nyumba zaidi ya 80,000

    Pia, Kimbunga hicho kinachoanza kutoweka kimeharibu takriban nyumba 80,000 katika mji wa Fort Mayers, na kuwaacha gizani zaidi watu Milioni 1.8 kutoka miji kadhaa ya jiji la Florida. Kituo cha Taifa cha Udhibiti wa Vimbunga cha Marekani, (NHC) kilisema Kimbunga Ian kilichopungua nguvu kufikia...
  4. Chizi Maarifa

    Azam mnaenda kuharibu Mchezo wa Ngumi. Watu wakishaona haya maigizo mara mbili tatu wanaachana na Huu Upuuzi

    Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
  5. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  6. Lady Whistledown

    Mali: Wanajeshi wa Ivory Coast washtakiwa kwa kuharibu Usalama wa Taifa

    Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande. Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
  7. N

    Attention: Hakuna list official ya super league hadi sasa, CAF wanaenda kuharibu champions league

    Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi. CAF hawajatoa list wamesema watatoa maelezo zaidi in coming days,ila msishangae hao Yanga wakawepo kwani hadi sasa jamaa ni kama hili...
  8. Mtemi mpambalioto

    Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
  9. N

    Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Nasikitika sana! Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao! Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana. Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya! Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
  10. Protector

    Serikali kupunguza kodi kwenye betting haioni inaendelea kuharibu vijana ambao wapo addicted na kubet

    Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%. Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo. Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
  11. Samson Ernest

    Kuoa/kuolewa na mtu wa imani tofauti na yako kunavyoweza kuharibu uhusiano wako na Mungu

    Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza asijue shida atakayokutana nayo baada ya kuoa/kuolewa na mtu wa Imani tofauti na yake. Imani ni...
  12. Zanzibar-ASP

    Maduka ya dawa Tanzania yanatumika kutuibia, kututesa, kuharibu afya zetu na kutuua?

    Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla sikuyajua kwa kina. Nimegundua mambo haya: 1. Mtu ili kuanzisha na kuendesha biashara ya duka la dawa...
  13. Sky Eclat

    Maisha unayoishi yanaweza kunyoosha au kuharibu maisha yako ya baadae.

    James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita. Jamila alijifungua mtoto wa kike mzuri na kumpa jina Aisha. James alitoka shuleni anamkuta Jamila na mtoto, alipenda...
  14. V

    Msemaji wa Simba unaanza kuharibu

    Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu timu. Kesho watu wakija na vitochi zaidi tena vyenye mwanga wenye madhara atafanyaje? Nilitegemea...
  15. robinson crusoe

    Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  16. Maria Nyedetse

    Maandamano yanayoambatana na kuharibu mali kwa kisingizio cha Demokrasia

    Naomba kabla sijaendelea kusema jambo moja... "Naunga mkono vuguvugu za kidemokrasia ambazo sii za vurugu" Daima siungi mkono vurugu kwa kisingizio cha Demokrasia. Wanajamvi leo naomba kusema kitu ambacho najua wengi wetu wanaweza wasinielewe LAKINI naamini kuna watakaonielewa. Mara nyingi...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Uganda kuharibu dozi zaidi ya 400,000 za COVID19

    Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema chanjo zilizopelekwa mikoa ya kaskazini hazikutumika. Dozi zilizoisha muda ni modern ana...
Back
Top Bottom