Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana.
Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...