kuhonga mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  3. JamiiForums Tanzania Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

    Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano. Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu tajiri siwezi kula mwanamke ambae sio bikra. Aisee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…