Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Imeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua kumbe anatumia iPhone 16pro max.
Mimi hata nguo nzuri sinunui, najiuliza aliipata wapi, kapewa na nani?.
Juzi Tu hapa kasema anadaiwa Ada nikalipa tena kwa kujibana Sana.
Aisee Roho inauma wazee, inauma sana.
Wanaume tusipokuwa makini tunakula mapema, ngoja niendelee kutafuta hela