Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 595
- 786
Ulitaka akwambie mpo wengi..? ,vitendo vimeshakwambia.Mbona kila siku ananiambia ni Mimi tu
Ulitaka akwambie mpo wengi..? ,vitendo vimeshakwambia.Mbona kila siku ananiambia ni Mimi tu
Imeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua kumbe anatumia iPhone 16pro max.
Mimi hata nguo nzuri sinunui, najiuliza aliipata wapi, kapewa na nani?.
Juzi Tu hapa kasema anadaiwa Ada nikalipa tena kwa kujibana Sana.
Aisee Roho inauma wazee, inauma sana.
Wanaume tusipokuwa makini tunakula mapema, ngoja niendelee kutafuta hela
Au yeye ana prado wewe una bajaji.Imeniuma sana.

Kabisaa kabisaa kabisaaaa.Mkomeshwe tu, mtu umekutana nae akiwa chuo maana yake ana wazazi/walezi waliompeleka hapo ila wewe ghafla unajivika majukumu ya ulezi. Usimuache, msomeshe mpaka amalize chuo
Wale mabinti unaowaona viwanja wanaagiza katoni za heinken au savanah unafikiri hela wanatoa wapi? Ni hela za hawa madogo mawinga, bodaboda n.k. Ikifika wikiend demu anatype sms ya kuomba elfu 10000 anaiforward kwa masimp 12 wanaomshobokea sana. Wakituma masimp 8 tayari ana 80k. Jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na brutal aonekane wa gharama ili kuvuta wanaume wenye hela. Vijana waliomtumia elfu kumi kumi wapo magetoni wanalalia ugali na dagaa mcheleHuu ushauri ni Muhimu Sana, yaani hawa wanawake wanajiliza njaa Sana kumbe Wana hela kukuzidi hata Wewe unayewahonga
Ugly truth. Inachukiza sana. Aaaahhh mimi kwakweli huu uhuni sifanyiwi aiseeWale mabinti unaowaona viwanja wanaagiza katoni za heinken au savanah unafikiri hela wanatoa wapi? Ni hela za hawa madogo mawinga, bodaboda n.k. Ikifika wikiend demu anatype sms ya kuomba elfu 10000 anaiforward kwa masimp 12 wanaomshobokea sana. Wakituma masimp 8 tayari ana 80k. Jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na brutal aonekane wa gharama ili kuvuta wanaume wenye hela. Vijana waliomtumia elfu kumi kumi wapo magetoni wanalalia ugali na dagaa mchele
Hii comment tuiwekee pdf tuka print tuiweke pale Tazara au Ubungo Flyover.Wale mabinti unaowaona viwanja wanaagiza katoni za heinken au savanah unafikiri hela wanatoa wapi? Ni hela za hawa madogo mawinga, bodaboda n.k. Ikifika wikiend demu anatype sms ya kuomba elfu 10000 anaiforward kwa masimp 12 wanaomshobokea sana. Wakituma masimp 8 tayari ana 80k. Jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na brutal aonekane wa gharama ili kuvuta wanaume wenye hela. Vijana waliomtumia elfu kumi kumi wapo magetoni wanalalia ugali na dagaa mchele
Hata huyu Demu najua anafanyaga hivi hivi, Maana ni mzuri na Wanaume kibao wanamshobbokea, ana jeuri huyo ni balaaWale mabinti unaowaona viwanja wanaagiza katoni za heinken au savanah unafikiri hela wanatoa wapi? Ni hela za hawa madogo mawinga, bodaboda n.k. Ikifika wikiend demu anatype sms ya kuomba elfu 10000 anaiforward kwa masimp 12 wanaomshobokea sana. Wakituma masimp 8 tayari ana 80k. Jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na brutal aonekane wa gharama ili kuvuta wanaume wenye hela. Vijana waliomtumia elfu kumi kumi wapo magetoni wanalalia ugali na dagaa mchele
Inauma sana, mtu kutajirika kwa jasho lenu na bado msipate kitu anawapa, Mwanamke kama huyu huwa hawaoelewi Maana wanaona wanavamia banwa na manufaa kibaoUgly truth. Inachukiza sana. Aaaahhh mimi kwakweli huu uhuni sifanyiwi aisee
Utakuwa unasanua watu wengine na sio wewe. Maana kwa ninavyoijua akili yako wewe usingeweza kuwaza ivo ili ujiokoe mwenyewe, km kawaida yetu waafrika kutoa ushauri kwa yale ambayo hatuyawezi: ni sawa na viongozi wa malawi kusema vijana mjiajiri huku wao wanagegedana na kuendekeza uchawa ili waendelee kutafuna nchi. Ova ova ovaImeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua kumbe anatumia iPhone 16pro max.
Mimi hata nguo nzuri sinunui, najiuliza aliipata wapi, kapewa na nani?.
Juzi Tu hapa kasema anadaiwa Ada nikalipa tena kwa kujibana Sana.
Aisee Roho inauma wazee, inauma sana.
Wanaume tusipokuwa makini tunakula mapema, ngoja niendelee kutafuta hela
Ukiona binti hajaamza kujitegemea na anasoma chuo, anaishi maisha ya juu kuliko hali ya nyumbani kwao. Jua kuna wana walafi wa chupi wameumia. Wanaumiza madogo waliyojaa ushamba ila nao sasa hizo hela ambazo zinatosha kufanya jambo la maana mjini wanaishia kuiteketeza lwa bata tu au kununua vitu ghaliWale mabinti unaowaona viwanja wanaagiza katoni za heinken au savanah unafikiri hela wanatoa wapi? Ni hela za hawa madogo mawinga, bodaboda n.k. Ikifika wikiend demu anatype sms ya kuomba elfu 10000 anaiforward kwa masimp 12 wanaomshobokea sana. Wakituma masimp 8 tayari ana 80k. Jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na brutal aonekane wa gharama ili kuvuta wanaume wenye hela. Vijana waliomtumia elfu kumi kumi wapo magetoni wanalalia ugali na dagaa mchele
Mkuu kwanini hutaki kuamini kwamba na Mimi imenikutaUtakuwa unasanua watu wengine na sio wewe. Maana kwa ninavyoijua akili yako wewe usingeweza kuwaza ivo ili ujiokoe mwenyewe, km kawaida yetu waafrika kutoa ushauri kwa yale ambayo hatuyawezi: ni sawa na viongozi wa malawi kusema vijana mjiajiri huku wao wanagegedana na kuendekeza uchawa ili waendelee kutafuna nchi. Ova ova ova