Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

Sijawahi kuwaelewa wahuni mnao honga sana aisee kwani mkeo huyo, kuwa makini dingilai huo ni utapeli jiwekeze kwanza wewe.
 
Ujanja wote kumbe unapelekeshwa na dent wa chuo 😹😹😹

Kuna watu kwa michango yenu hamtakiwi kufunua hizo love box zenu tutawadharau 😹😹😹
 
Ujanja wote kumbe unapelekeshwa na dent wa chuo 😹😹😹

Kuna watu kwa michango yenu hamtakiwi kufunua hizo love box zenu tutawadharau 😹😹😹
Hahaha kwani kipi kina kushangaza? Kipi kimekuopesha?
 
Gharama interns of money/finance, Time and commitments
Wewe unajitafuta lakini bado unataka kutafuta ada seriously? 😹😹

Baadaye akienda kuolewa na mwingine mnajinyonga mkikumbuka gharama..!!
 
Hahaha kwani kipi kina kushangaza? Kipi kimekuopesha?
Ulivyo serious jukwaani kukosoa veggies kumbe na wewe unapelekeshwa na mwanamke mdogo na midevu yako..!! 😹😹
 
Siku ukija kushituka utakuwa umechelewa sana ndugu cha muhimu mkalishe chini umwambie ukweli kuhusu maisha yako akizingua achana nae japo inauma naamini utakuja kumsahau
 
Back
Top Bottom