Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
- #41
Siwezi kuhonga gogo Mimi, ataniua Shemeji nakwambiaHuyo mnyaturu mwenzangu mpaka akuue mwanetu 😂
Ndio huyo kitandani gogo?
Siwezi kuhonga gogo Mimi, ataniua Shemeji nakwambiaHuyo mnyaturu mwenzangu mpaka akuue mwanetu 😂
Ndio huyo kitandani gogo?
Tuko na wewe hadi akuue 😅😅Siwezi kuhonga gogo Mimi, ataniua Shemeji nakwambia
Ananipa kwa mawazo sana, ananipimia kama mafuta ya taa kwenye vibaba.Alafu unaweza Kuta hata tunda hajakutunuku pamoja na sacrifice zote hizo
Huwezi kulinganisha na IphoneKwan samsung unaichukuliaje mkuu ??
Basi inatosha unaendelea kujivua nguo dr 😹Ananipa kwa mawazo sana, ananipimia kama mafuta ya taa kwenye vibaya.
Game za hovyo sana
Hahaha kwani kipi kina kushangaza? Kipi kimekuopesha?Ujanja wote kumbe unapelekeshwa na dent wa chuo 😹😹😹
Kuna watu kwa michango yenu hamtakiwi kufunua hizo love box zenu tutawadharau 😹😹😹
Ila kuwa mwanaume kazi
Wewe unajitafuta lakini bado unataka kutafuta ada seriously? 😹😹
Baadaye akienda kuolewa na mwingine mnajinyonga mkikumbuka gharama..!!
Au sio? 😹Gharama interns of money/finance, Time and commitments
We Acha Tu ni shida tupuAu sio? 😹
Sikio la kufa halisikiagi dawa..!!
Ulivyo serious jukwaani kukosoa veggies kumbe na wewe unapelekeshwa na mwanamke mdogo na midevu yako..!! 😹😹Hahaha kwani kipi kina kushangaza? Kipi kimekuopesha?
😹😹😹We Acha Tu ni shida tupu