Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala.
Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.
Wakati napewa hizi...
Mughonile!
Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri.
Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti,
Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje...
Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!
Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza...
Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU.
Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake.
Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako
Povu ruksa
Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga.
Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi:
" MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU
1. NINA KUPENDA
2. NINAJIPENDA.
Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende basi jua kwa hakika kwamba wewe ni mpumbavu Kwa Sababu ni mwanaume mpumbavu peke yake ndio ana amini...
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!
Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman.
Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
Habari wadau!
Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira.
Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
Habari ya leo jamani,
Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu.
Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa.
Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi...
Habarini wana jamvi.
Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.
Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.
Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.
Nb...
Habari zenu jamani JF,
Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?
Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.