kuhonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuhonga mwisho 10k

    Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala. Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.
  2. Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

    Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama. Wakati napewa hizi...
  3. Mwanaume wa hivi ataachaje kuhonga ili naye apate raha?

    Mughonile! Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri. Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti, Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje...
  4. Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

    Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana! Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza...
  5. Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

    Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU. Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake. Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako Povu ruksa
  6. Wanawake mnasema mnapenda mwanaume anayejua kuhonga, ila mkiwapata hao wanaume, mnawaona na kuwafanya maboya

    Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga. Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
  7. Kuhonga ni lazima ila Kuna kanuni zake. Zijue kanuni za kuhonga.

    Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi: " MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU 1. NINA KUPENDA 2. NINAJIPENDA. Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende basi jua kwa hakika kwamba wewe ni mpumbavu Kwa Sababu ni mwanaume mpumbavu peke yake ndio ana amini...
  8. Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  9. Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
  10. Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  11. Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

    Habari wadau! Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira. Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
  12. Ushauri: Nifanyeje ili nijue kuhonga

    Habari ya leo jamani, Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu. Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa. Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi...
  13. Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

    Habarini wana jamvi. Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu. Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu. Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu. Nb...
  14. Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

    Habari zenu jamani JF, Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau? Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…