Ghana ni nchi yenye Wakristo wengi, ambapo kuhubiri injili kwenye vyombo vya usafiri wa umma ni jambo lililozoeleka. Katika mabasi ya masafa marefu, mara nyingi wachungaji huonekana na kusikika wakihubiri injili. Wakati mwingine husimama kwenye ngazi karibu na dereva, huku wengine wakitembea...