Wazee poleni wote kwa kuto kuipata huduma ya jamii forums kwa muda wa miezi mitatu:
Maada yangu ni kwamba nasikia ukinunua mzigo zanzibar ukitaka kuuvusha ufike tanzania bara unalipa kodi kubwa sana ndo mzigo uvuke kufika bara. Naomba mwenye kujua hili anisaidie wanafanyaje kuichaji hii kodi na...