Kuhusu kodi kubwa ya kuvushia mizigo kutoka Zanzibar kuja Tanzania bara

Kuhusu kodi kubwa ya kuvushia mizigo kutoka Zanzibar kuja Tanzania bara

Mayova

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2018
Posts
248
Reaction score
246
Wazee poleni wote kwa kuto kuipata huduma ya jamii forums kwa muda wa miezi mitatu:

Maada yangu ni kwamba nasikia ukinunua mzigo zanzibar ukitaka kuuvusha ufike tanzania bara unalipa kodi kubwa sana ndo mzigo uvuke kufika bara. Naomba mwenye kujua hili anisaidie wanafanyaje kuichaji hii kodi na pia je, bado kodi ni kubwa kama inavosemekana au imeshuka. Natanguliza shukrani 🙋
 
Hizo ni hadithi tu

Mm nipo zenji njoo tufanye biashara
 
Nipe namba za simu kaka tuwasiliane
 
Back
Top Bottom