Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza biashara huria duniani, takwimu zilizotolewa na Jarida la Guancha la China, zinaonesha kuwa biashara...
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.
Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
ANGUKO LA CHADEMA Linapozidi Kuonekana – CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura.
Katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji, CHADEMA imeonyesha kushindwa kusimamisha wagombea katika sehemu kubwa ya nchi. Wakati ambapo Watanzania wanahitaji viongozi wa kuwajibika, ambao...
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa...
JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekta ya Afya kwa kujenga Hospitali pamoja na vituo vya Afya katika...
Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora.
Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
Makala haya yanaangazia suluhisho la kina na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei, kukuza uchumi thabiti na unaostawi katika kipindi cha miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo.
Suluhu za Muda Mfupi (Miaka 5 Ijayo)
1. Kuimarisha Sera ya Fedha-(Kibenki)
Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupitisha sera...
Mwanzoni mwa mwezi Mei 2024 Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kiserikali katika nchi tatu za Ulaya, ziara iliyomfikisha Ufaransa, Serbia na Hungary. Kimsingi ziara za Rais Xi katika nchi hizi tatu zililenga mahusiano kati China na nchi hizo, hata hivyo kilichoonekana kwenye ziara hiyo...
Tanzania tuitakayo. Miaka kadhaa sasa Tanzania inatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu kwa wanafunzi lakini pia kukabiliana na ubunifu wa watoto ili miaka ijayo tusiwakose wabunifu wetu wenyewe kutokana na kutowafanyia bidii mapema. Na hii ikikamilika Tanzania itakadiriwa kuwa na watu mahiri...
Hii ni habari njema sana.
Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya Kitanzania.
Leo hii shillingi moja ya Kenya inabadilishwa kwa shillingi 15.52 ya Kitanzania. Hii ni...
Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki.
Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
"Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni.
Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri.
"Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali.
Katika mpango huo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutumia Tsh Bilioni 250.9 kwa lengo la kuboresha...
Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support
By Brianna Herlihy
Published November 29, 2022
The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61 to 36, which will require the federal government to recognize all marriages, including same-sex...
Caroline Nassoro
Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.