Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm
Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma wapinzani wao
Kwa jinsi walivyocheza sioni ni kwa jinsi gani wasifike nusu fainali ya champions...
Fadhili Mpunji
Kila mkutano wa bunge la umma la China unapomalizika, utekelezaji wa mipango mipya ya serikali ya China huwa unaanza. Pamoja na kuwa mambo mengi yanayojadiliwa ni mambo ya ndani, mambo hayo pia huwa yanahusiana moja kwa moja na nchi za nje na yanahusu sera ya kidiplomasia ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania.
CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola.
Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania.
Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.
Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani.
Je, hali ya demokrasia ikoje?
Je, uhuru wa kujieleza ukoje?
Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje?
Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund?
Mauwaji je, hasa...
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA.
UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria.
DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.