kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  2. Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla. Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
  3. Nawaasa vijana wale wanaotaka kuingia katika ndoa

    Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote tuna Mishahara. 1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji...
  4. Zembwela ajutia kuingia sakata la DP World

    Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X): "Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia...
  5. Wakili Boniface Mwabukusi: Montevideo Convention na Vienna laws to Treaty hairuhusu Dubai kuingia mkataba na nchi yoyote

    "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi. "Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
  6. Ukitaka kujua ukubwa wa uke au uume wa mpenzi wako kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Habari zenu wapendwa, Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa kusoma maumbile ya nje yaani kwa kumtazama usoni na miguuni tu au maumbile yaliyoruhusiwa kumtazama...
  7. Ukulu ya Gamboshi - (Ufalme chini ya Ardhi)

    Nimawasalimia wana JF wote. Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s. Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji. Kusema kweli mwanamke huyo sitamsahau katika maisha yangu. Yeye ndiye aliyenifundisha mambo mengi sana...
  8. The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  9. Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

    CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za...
  10. Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  11. Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  12. B

    MoU kati ya Tanzania na jimbo la China, bidhaa nyingi kuingia nchini

    MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
  13. H

    Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  14. Kama Tanzania haiwezi kuuzwa kwa nini kuingia mkataba kama huu kwa yanayowezekana?

    Kwani suala si kuongeza ufanisi kwa kuwa na miundo mbinu ambayo inaweza kusababisha kupitisha tani elfu 58. Je, hatukuweza kutafuta namna ya kupata njia ya kuboresha miundo mbinu? Bandari ni eneo la meli kutia nanga na kuweza kushusha mizigo. Hapa ni kuwa eneo la kutosha na vifaa vya kisasa...
  15. T

    Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
  16. Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  17. Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

    1. HIV -UKIMWI 2. Rhesus 3. Genotype 4.Hepatitis B 5. Hepatitis C 6. Magonjwa sugu 7. Magonjwa ya akili 8. Makundi ya damu 9. Magonjwa ya zinaa 10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi...
  18. Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

    Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine.... A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8 helicopters were reported shot down before entering Ukraine territory. Russian news outlet...
  19. Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  20. Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani. Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha Bali Ni la kawaida tu Ila naimani linafunzo ndani yake, moja kwa moja tuanze Sasa.. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…