Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa.
Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
Hawa ni wababe ambao mwishoni mwa miaka ya 90 waliitikisa dunia katika ndondi.
Moja ya pambano la kukumbukwa ni mmoja wao kung’atwa sikio.
Kwasasa wamezeeka ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
Nilifanya kazi, nikawa nimefikisha miezi 192 ya kuchangia 2022 ingawa umri ulikuwa 46 years. Baada ya Mzee baba kuja na sheria za kuunganisha mifuko nikaogopa hivyo nikawithdraw FAO la kukosa ajira na fedha nikapata ila nikawa nasubiri umri wa 55 ufike ili nilipwe na pension.
Bahati nzuri baada...
Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela
Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU.
Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
Heri ya sikukuu kwa familia nzima ya JamiiForums.
Turejee kichwa cha uzi hapo juu.
Nina imani wengi wetu huwa tunajiwekea Malengo ifikapo mwanzo wa mwaka ili tuweze kuyatekeleza na kufika hatua ya mafanikio tunayoitaka.
Mbali na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika safari ya kutekeleza...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kuna watu wanakera,wanaudhi na kutia kichefuchefu mno kwenye jamii ya watu waliostaarabika.
Moja ya watu wanaokera ni wafuatao:-
1.WAPIGA MIZINGA
Hawa wao huwa wanadhani kila pesa unawatafutia wao,badilikeni
2.WAAZIMA NGUO & VIATU
Hivi dunia la leo...
Simu zetu hizi za android zina vitu vingi sana hatuchaguliwi cha kutumia, updates zake nazo sometimes huwa zinakuwa complex kidogo.
Ukiona kuna update kwenye simu yako, dont rush !! Tulia na usome mchezo.
Mfano mwezi uliopita kwa wale wenye google pixel 6 waliokimbilia kufanya updates za...
Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol.
Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
👇
Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.
Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na...
Mimi napenda kumwambia Intelligent businessman aoe mke wapili ache michepuko ili tumuone next year, pili na mwambia National Anthem aoe usingle 2024 hautajiki au tunakuuza ukawe mtumwa huko kwa waarabu , Lovelovie I miss you umepotea jamani babe wangu,Joannah my dear upo?? Pridah outing mama...
Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
Anonymous
Thread
aibu
baada
barabara
hata
inaanza
kabla
kazi
kuisha
mbagala
mfupi
muda
mwendokasi
Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao.
Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora.
Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.