Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote.
Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu.
Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi...