Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaishia maisha ya aina mbili kwa wakati mmoja, mfano unakuta mtu ametoka kufanya uzinzi mchana, then jioni anapost status au post ya kawaida kwenye WhatsApp, FB na inta akiwahimiza watu kuhudhuria ibada ya maombi na akiwa confident kabisa. Unakuta kesho anaenda...
Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne.
Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama mnavyofahamu malipo ya posho huwa katika dola pale mnaposafiri na kiongozi mkubwa katika big four na...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua...
Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako
Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
Shirika la kutetea mazingira la Global Witness limesema rekodi ya watu 227 waliuwawa kote duniani mwaka jana wa 2020 kutokana na utetezi wa mazingira. Shirika hilo linasema idadi hiyo ni sawa na watu 4 kila wiki na karibu robo tatu ya vifo hivyo vimetokea Amerika Kusini.
Katika ripoti yake ya...
Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
Kikundi cha wanawake kilikuwa kwenye semina ya jinsi ya kuishi katika uhusiano wa upendo na waume zao. Wanawake waliulizwa, "Ni wangapi kati yenu wanampenda mumeo?" Wanawake wote waliinua mikono yao.
Ndipo wakaulizwa, "Mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini?" Wanawake wengine...
Sumbawanga ni tofauti,
Wanapenda wageni
Ni wapole
Ni wakarimu
Hawana roho ya kwanini
Sio wachokozi
Hawana mambo ya kurogana rogana hovyo japo uchawi wanaujua vizuri
Walio bahatika kumjua MUNGU wana msimamo katika imani ya dini
Ila kama wewe ni mchokozi,mkorofi sumbawanga haikufai
Watu...
Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi?
Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
Wanna jamvi?
Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia.
Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.
Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la.
Ngoja tuendelee kutega sikio
Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani.
Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case.
Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki...
Habari ndugu?
1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)?
2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani...
Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia..
Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo??
Je umejiandaaje.?
Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.?
Je kabla hujaondoka ungependa...
Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa,
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia.
Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar...
Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani.
Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia,
kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka,
Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.