kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  2. Suzy Elias

    Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  3. Notorious thug

    Je, ni muda wa Makonda kuishi kana ilvyowahi kuelezwa na Hayati Magufuli?

    Nakumbuka hayati raisi John Pombe Magufuli aliwahi kusema kuna watumishi/viongozi waliokua wanaponda starehe kula bata waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani kwenye awamu yake. Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana...
  4. Palina

    Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

    Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi) Haya wiki ya kwanza picha...
  5. Ben Zen Tarot

    Fahamu baadhi ya sheria za kijamii zitakazokusaidia kuishi na watu vizuri

    1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya. 2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi...
  6. Muuza simu used

    Mwanaume unawezaje kuishi kwa amani ukijua kuna mtoto umemtelekeza sehemu?

    Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije? Kweli kabisa unaweza kwenda kitandani ukalala usingizi kabisa na huku umetelekeza damu yako? Mwanaume...
  7. OMOYOGWANE

    Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  8. Nigrastratatract nerve

    Tunadekezwa, tunajua sote madhara ya deko

    Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces. Binadamu yeyote anayejaribu kushusha...
  9. Kiokotee

    Inawezekana kweli kuishi bila social media?

    Nauliza tu jamani, Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Kwema Wakuu! Kila ukoo unasifa zake. Unabaraka zake. Wapo waliobarikiwa Sura nzuri, wapo waliobarikiwa urefu, nguvu na wengine Akili. Pia wapo waliobarikiwa kuwa na uzao mwingi. Wapo waliobarikiwa asili ya Utajiri. Na wengi asili Yao ni umasikini. Kila kitu kinaenda Kwa Mkondo. Kitu pekee...
  11. M

    Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  12. Equation x

    Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  13. Myebusi Mweusi

    Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  14. Suzy Elias

    Huenda Samia amejipanga kuishi na wapinzani ki-laghai kama alivyoishi nao bwana yule

    Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake. Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa kuwahadaa na hata walipodemka huko katika mikutano ya hadhara kwanza aliwachapa sawasawa kwa...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  16. John Haramba

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
  17. J

    Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  18. Boniphace Kichonge

    Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? 11 Juni 2019 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi...
  19. safuher

    Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
Back
Top Bottom