(Picha mtandoni)
Utangulizi
Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni.
Wananchi wengi ndani ya sehemu...
Ni muhimu kwa watu wenye ulemavu kuwa washiriki hai katika jamii zao na kuishi maisha yenye kuridhisha. Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu unasema kuwa watu wenye ulemavu wana haki ya kushiriki kikamilifu katika jamii.
Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi...
Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi nayo yeye.
Analalamika amechoka kufanya kazi na anataka kuchukua likizo ya miezi sita kutuliza...
KUISHI NA HEKIMA
Hekima inaweza kuja kwa namna nyingi. Inaweza kuwa kipande cha ushauri, somo la kujifunza, au hata tukio la maisha. Hekima ni kilele cha uzoefu na maarifa, ni matokeo ya kuishi kwa sasa. Hekima ni uwezo wa kujua jinsi ya kutenda katika hali yoyote. Hekima ni uwezo wa kuona...
Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla.
Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha mtazamo wako kuhusu msamaha.
Katika chapisho la kiingereza liitwalo safari ya mahusiano binafsi...
1. Acha iende
Usije ukaharibu siku yako njema ya leo, siku yenye furaha, siku yenye nuru njema kwa sababu ya siku mbaya ya jana. Jambo linalorudisha sana watu nyuma pengine kimaendeleo, kimasomo, hama kufanya maamuzi ni kuruhusu kukumbuka siku ya jana iliyopita ambayo pengine ilikuwa mbaya...
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,
Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka
27 Juni 2022
Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye...
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.
Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Habari!
Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo.
Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana.
Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia?
Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
Habari wana JF,
Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.
Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.
“Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo.
Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu
Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha
Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .
Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
Habari za siku nyingi watu wa Mungu.
Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa napenda sana ndugu ila kuishi na ndugu ni mtihani kama mtu ana uhitaji na tuna uwezo wa kumsaidia...
Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta.
Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga.
1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.