kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  2. mdukuzi

    Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

    Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake. Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶ Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo...
  3. Chizi Maarifa

    Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  4. McCollum

    Alimsomesha chuo, baada ya kumaliza masomo ndugu wakadai hana uwezo wa kuishi nae

    Habari za Jumapili? Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki kipindi alipokuwa mdogo sana. Kwa kipindi kirefu cha Elimu yake alikuwa akiishi na bibi upande wa mama...
  5. Chief Kumbyambya

    Wazee hii ya kuishi na demu mjamzito imekaaje.

    Wasalaaaam wazee wa kazi.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati... Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi. Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na...
  6. mdukuzi

    Mliowahi kuishi Uingereza ni kweli ile nchi ina masikini wengi?

    Nimestaafu mwezi uliopita Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa. Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu. Natamani nikaishi England nifie huko Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna...
  7. BARD AI

    Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  8. Maleven

    Ushawahi kuishi na mtu usiempenda / unaemchukia nyumba moja?

    Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
  9. Lameckjr

    Mbezi mwisho siyo pa kuishi "Domo zege's"

    Heri ya Mwaka mpya wakuuu, Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma). Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
  10. Aliko Musa

    Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  11. Mpwayungu Village

    Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  12. S

    Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  13. matunduizi

    Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  14. DR HAYA LAND

    Huu mwaka 2023 nategemea kuishi ki-padri

    Usiniwaze Sana Mimi nawaza Maisha yangu. Ili nifikie Goals na nisiweke- pause Lazima niishi ki-padri (Priest life) Nahitaji chukua Chuma ya Pili ili nimpatie My Mama that All na siwezi mchukulia Chuma ya Chini ya Mil 20
  15. K

    Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  16. M

    Kuishi karibu na Mpaka wa Tanzania na Zambia

    Wana jukwaa Salaam Kwa wazoefu wa maeneo haya ninaomba msaada. Mpango wangu ni kuishi mpakani mwa Zambia na Tanzania (karibu na hapo Tunduma) lakini eneo la mpakani kiasi kwamba nikitaka kuvuka kupata mahitaji upande wa pili wa Tanzania ninavuka bila shida. Pia ni biashara gani hapo inayoweza...
  17. Toni Toni

    Nimechoka kuishi kwa wazazi, naombeni ushauri

    Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu... Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee. Ila...
  18. DR HAYA LAND

    Maisha mazuri ni kuishi katika utakatifu tu

    Hakika nikijiangalia kipindi changu cha Majira ya upofu ambapo nilikuwa sijaamua kuishi katika Maisha ya utakatifu. Naona mabadiliko makubwa sana. Nchi ya ahadi ni nzuri, imejawa na asali. Nauona mwisho wangu ukitamatika katika haki na kweli. Vijana mtafuteni Mungu wa kweli acheni kuishi...
  19. DR HAYA LAND

    Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  20. Mganguzi

    Tanzania watu zaidi ya milioni 40 hawana makazi yao ya kuishi

    Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini? Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
Back
Top Bottom