Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha.
Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake
Na pia ni mtizamo wangu kwako msomaji unaweza usihafiki
Kwa mda nilioishi hapa dunian huu ndo mtizamo wangu na maon yangu...
DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio.
Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
Habari,
Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where.
Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
"....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."
"....jawabu langu li bayana sitogombea!"
Profesa.
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii.
Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu
Kabila: Mmeru
Umri: 30
Dini: Mkiristo
Elimu: La 7
Kazi: Kubeba...
Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi.
Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako.
Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa...
Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi.
Kuishi Mara na...
Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera...
Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally.
Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
INTRODUCTION:-
Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE.
Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE.
SCENARIO:-
Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao.
Kilianza kikao cha...
Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.
Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke Tsh. 300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara. Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani.
Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke...
Peter Watson, aliyekuwa profesa wa Fizikia tangu mwaka 1984 katika Chuo Kikuu cha Carleton. Amefundisha zaidi ya kozi 25 tofauti, katika ngazi zote, na pia amesimamia wanafunzi wengi wa shahada ya uzamili na uzamivu. Kazi yake ya utafiti imekuwa zaidi katika fizikia ya nadharia, na amechapisha...
Anaandika, Robert Heriel
Ipo haja ya kuundwa Kwa program maalumu ya kuwapa Elimu vijana wakiume ya namna ya kuishi na Wanawake waliowezeshwa(Empowered women).
Zamani tuliambiwa tuishi na Wanawake Kwa Akili Wakati Wanawake wenyewe hawakuwa Empowered, vipi sasa hivi wakiwa wamewezeshwa...
Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana
Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani
Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.
Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye...
Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga.
Binafsi nimewahi kupitia changamoto za kukataliwa na watu wangu wa karibu. Kila nilipojaribu kuwa mwema kwao...
Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism.
Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.