kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kuna uwezekano wa kuacha au kupunguza tabia zetu mbaya pamoja na mapungufu ili tuishi vizuri na watu?

    Habari wakuu, Kama wanadamu tuna kasoro na mapungufu mengi ambayo katika hali ya kawaida ni kama tumeumbwa navyo yani huyo ndo wewe huwezi kumbadilisha. Katika hali hii wengi wanapata shida kuishi na watu ata wenza wao wanajikuta wanakuwa kero kwa watu wanaowazunguka. Wakati mwingine inatesa...
  2. Rashidi Jololo

    Wahuni Jeshini Wadhibitiwe haraka, Wanajeshi wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia

    Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani. Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
  3. DR HAYA LAND

    Ukitaka kuishi vizuri hapa Duniani fanya hivi hautajuta

    Kila dakika kila saaa kuwa mtu wa kushukuru , hapa utatumia ile kanuni ya the power of Gratitude kwamba unapozishukuru hela zako Basi MAZINGIRA yako ya Kupata hela yanaanza kuwa marahisi Shukuru kuhusu Afya yako kila Muda kila saaa kila dakika kila sekunde. Ruhusu MSAMAHA kwa kila Mtu hapa...
  4. Kiplayer

    Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho...
  5. Pang Fung Mi

    Safari ya kuishi au maisha unaamua wewe ila kusikindikizwa wanaamua watu

    Safari muhimu hata kama utaiamua wewe ni vema isikose watu wa kuambatana nawe, hata kama utaiamua hio safari wewe ila watu ndio watakusindikiza na kukufikisha. Safari katika maisha zipo nyingi na zote wameumbiwa watu. Chagua safari yenye heri itakayo ambatana na wasindikizaji wema. Heri nyote...
  6. co fm

    Nimechoka kuishi Bongo

    Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi. Sawa...
  7. R

    Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

    Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye...
  8. Mhafidhina07

    Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  9. P

    Nawezaje kuishi katika dunia iliyochanganyikiwa?

    Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo. Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo...
  10. LIKUD

    Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

    Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo. Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc. They mind their own business. They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama...
  11. Bexb

    Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

    Habari ya jioni wakuu. Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao. Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee. Kama unaweza kutukwamua...
  12. sky soldier

    Wanaosema kwamba Israel ilipora ardhi ya Palestina Wapitie hapa, watu walirudi kwao kuishi kwenye ardhi ya babu zao iliyoporwa kimabavu

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  13. Mhaya

    Tafuta pesa ila usisahau kuishi

    Tunatafuta pesa kila siku, tunazitafuta sana, wakati mwingine mpaka unajionea huruma, huwezi kupumzika kwa kuwa unahisi ukifanya hivyo unaweza kuloose sehemu fulani. Ndugu yangu, tuendelee kutafuta pesa ila tusisahu kuishi. Kuishi ni jambo jema sana, ninaposema kuishi ni kama kuupoza mwili...
  14. matunduizi

    Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana. Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita. Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
  15. Makonde plateu

    Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

    Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie...
  16. W

    KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
  17. mamaafacebook II

    Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

    nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

    Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi. Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na...
  19. DR HAYA LAND

    Usipotukana watu na kuandika matusi huwezi kuishi?

    Huwa nashangaa Sana kukuta Mtu wa umri mkubwa 20s anafoka foka huku akichoka kufoka utamkuta mtandaoni anaandika matusi. Ukiona umegonga 15 yrs unabidi kujua wewe tayari ni mtu mzima unayebidi kupambania kusudio lako la kuwa hai . Sasa inakuaje unatoboa hadi 20 yrs kichwa kimejaa matusi...
  20. Boss la DP World

    Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

    Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo. Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
Back
Top Bottom