Habari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar...
Wadau hope mko poa,
Kama mada inavyosema, natafuta mwenza wa kuanza nae mahusiono then badae tuje kuwa wamoja.
Sifa zangu:
Mrefu wa wastani, maji ya kunde.
Nimeajiriwa Sekta Binafsi( Finacial Institution)
Nina umri wa miaka 32.
Dini ni mkristo.
Kabila Mmasai.
Sifa za ninae muhiji:
Awe...
Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
Ivi Umewahi kufikiria hili?
Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia.
Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.
Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
Mwanza ni mji ambao unakua kwa kasi kiuchumi na maendeleo yake sio madogo pia, waliofika Mwanza miaka 10 iliyopita ukilinganisha na Leo ni vitu viwili tofauti kabisa na watakua pamoja na Mimi.
Dar es Salaam ni jiji la biashara, pia Kuna mzunguko mkubwa wa pesa lakini sio sehemu rafiki ya kuishi...
Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii!
Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa...
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.
Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya...
Kama unaye Mchepuko ni vizuri kujitambua kuwa unavyo ishi naye unatumia akili au umeshatekwa akili na kuwa hamnazo;
Fuatilia yafuatayo;
Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko familia yako; Jua unastahili kupelekwa Mirembe ukatibiwe ugonjwa wa akili.
Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko wazazi...
Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay,
Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.
Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako?
Mimi...
Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili.
Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine.
Tunazodolewa kila...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini.
“Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.
Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k
Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.