kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Nyumba ya kuishi Dodoma

    Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme. Bajeti yangu haizidi 200k
  2. Jason Bourne

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mama na Baba kuishi Pamoja ni rahisi kuwasaidia na kuwahudumia kuliko Wakitengana.

    MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha mbuzi Mee naliona kinakuja kwa waliowengi. Nilisema, wewe kama kipato chako upo chini ya milioni...
  4. X_INTELLIGENCE

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia. Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  6. Mjanja M1

    Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
  7. S

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  8. Majighu2015

    Maisha baada ya usaliti

    Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu. Kwa uzoefu wangu naona hilo swala halitoki akilini mana nawaza kwa nini mtu ninayempenda aliamua...
  9. David Harvey

    Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya. Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi. Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu. Pumbavu, tabia...
  10. M

    Natafuta mke wa kuishi naye sibagui sichagui

    Wasalam, Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma) umri:wowote(mimi 22) Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
  11. JanguKamaJangu

    LHRC: Kukiuka haki ya afya ni kukiuka haki ya kuishi kinyume na Ibara ya 14 ya Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
  12. G

    Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  13. Myebusi Mweusi

    Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

    Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
  14. Donnyme

    Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  15. R

    Niliamua kuishi kama Lowassa miaka 24 iliyopita, nimetambua sikufanya makosa. Nipo njiani kwenda Monduli

    Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za Arumeru dhidi ya aliyeelezwa kuwa ni mkwe wake. Lakini baadaye niligundua kwamba kosa halikuwa lake...
  16. J

    Ufahamu Ugonjwa wa Kifafa na namna bora ya Kuishi na Wagonjwa wa kifafa

    Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa. Kufahamu zaidi...
  17. RoadLofa

    Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi bhana kutokana na iyo Hofu nilikuwa najikuta nakonda kweli na kuumwa hakuishi yaani nikiumwa tu...
  18. M

    Mbinu za kuishi na watu wenye tabia ngumu makazini

    Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao , ni kweli wapo watu wana tabia ambazo ni ngumu kuvumilikika kiasi cha kufanya wengine wakose amani...
  19. ward41

    Siku ukipata nafasi ya kuishi russia utaichukia sana

    Wazungu kwa ujumla ni wabaguzi sana. Ukienda Europe, America ubaguzi ni kawaida sana. Ila kuna maeneo ubaguzi umezidi sana hasa kwetu Sisi watu weusi. Russia ni miongoni mwa nchi ambazo ubaguzi umekithiri sana. Watu weusi Sisi ni takataka nchini Russia. Watu weusi wanabaguliwa sana Russia na...
  20. Mwande na Mndewa

    Likizo time tuliporudi vijijini, watoto wenzetu walielekea Paris, London, Washington DC waliambiwa nanyi pia mna haki ya kuishi hapa

    Wakati wa likizo miaka ya 1980 tulipokuwa watoto, ilikuwa ni utamaduni kwenda kuwasalimu bibi na babu,yalikuwa ni malezi bora yenye baraka pale babu na bibi wanapokushika mkono kukubariki na kukutakia yote yaliyo mema, wakati tukirudi kijijini, watoto wa waliofanikiwa walipelekwa kutembea...
Back
Top Bottom