kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Jinsi unavyozidi kuwa tajiri ndivyo unaongeza muda wa kuishi chooni

    Matajiri wengi wanaishi zaidi zaidi bafuni na chooni kuliko kuishi kukaa sebuleni na chumbani. Miundombinu ya vyoo vya matajiri au hata hotel kubwa imewafanya matajiri kuishi chooni bila kujua . Chooni wanakaa, wanamaji ya moto, wana jakuzi, vifaa vya kunyolea , marashi nk. Hivyo ni jambo la...
  2. Pascal Mayalla

    Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Haya Kwa wale wanaotaka kwenda kuishi Amerika sikiliza hiyo video hapo chini

  4. Pang Fung Mi

    Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

    Salaam JF, Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari. Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu. Kila...
  5. Mhakiki

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  6. sky soldier

    Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  7. M

    Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  8. Satirical Yet Awesome

    Je, tunaweza kuishi kwa amani tukifatisha vitabu vyetu vya dini?

    According to the Koran; Koran 2;191 "Slay the unbelievers wherever you find them." Koran 3;28 "Muslims must not take the infidels as friends." Koran 3;85 "Any religion other than Islam is not acceptable." Koran 5;33 "Maim and crucify the infidels if they criticize Islam." Koran 8;12...
  9. DR HAYA LAND

    Kumpa mtoto Chakula na Sehemu ya kuishi hiyo haitoshi wewe kuwa Baba au Mama

    Unapokuwa na Familia Usiseme Kazi yako ni kuwapa Chakula tu na Sehemu ya kulala. Unapoitwa Baba au Mama Lengo kubwa sio kumpa mtoto Chakula au Sehemu ya kulala , Maana kila mtu anaweza kufanya hivyo. Unapokuwa na Familia tenga Muda wa kumjenga mtoto wako kumpatia MAARIFA ya kumjenga Kama...
  10. M

    Unaishi vipi na watu wa mtaani kwenu ulikozaliwa na kuishi huko

    Nimezaliwa katika mtaa ambao kwa sasa naweza ita ni uswahilini, pamoja na wengi kuondoka na kujichanganya kwingine, mimi narudi home karibu kila wiki kwa sababu home zipo biashara zinazonipeleka, pamoja na wengine kuhama bado wapo wenyeji wengi sana wanaoshi hapo mtaani kwetu...
  11. mdukuzi

    Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

    Mimi sio mzee wala sio kijana, Mimi ni mkunga kwenye kituo cha afya,sasa huku wanaume wote tunaofanya kazi idara ya afya tunaitwa madoctor,bila kujali area ya specialization yako, Sasa sijui wananisalimia mimi kama mimi au kwa sababu ni dokita Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku Wamama watu...
  12. mdukuzi

    Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

    Mimi sio mzee wala sio kijana, Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize. Hawa ndio wanawake sasa, Sio...
  13. Sol de Mayo

    Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

    Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
  14. Objective football

    Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  15. FRANCIS DA DON

    Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  16. Execute

    Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

    Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana. Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo. Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji. Safari ya...
  17. G

    Sina raha ya kuishi, nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi

    Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
  18. peno hasegawa

    Ukimkuta mtanzania anaitetea CCM ujue anakula na kuishi CCM, ila ukimkuta mpinzani anatetea haki na hali Upinzani.

    Tutafakari haya maelezo.
  19. Sky Eclat

    Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo. Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
  20. J

    Najuta kurudi Tanzania baada ya kuishi ughaibuni miaka 28

    Jamani wanajamiiForums, kwanza na wasalimia kwa heshima zote. Leo nakuja na story moja ya ukweli ya mzee mmoja aliye amua kurudi nyumbani baada ya kuishi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 28. nimekutana na huyu mzee akiwa kijijini kwake huko mkowani Shinnyanga, kwenye kimji kidogo kina itwa...
Back
Top Bottom