kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  2. technically

    Inakuwaje Rais anapokataa kuishi Dodoma?

    Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ? Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma? Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ? Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama...
  3. matunduizi

    Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  4. Mtoa Taarifa

    Idris Elba asema anaweza kuishi Zanzibar akihamia Afrika ndani ya miaka 10 ijayo

    Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika miji ya Zanzibar, Accra nchini Ghana au Freetown huko Sierra Leone na lengo kukuza tasnia ya Filamu. Elba ambaye Januari 2023 alikutana na kufanya mazungumzo na...
  5. B

    Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

    Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma 1.ugomvi wa visima vya maji Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
  6. Mayor of kingstown

    Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

    Nianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi. HALI YA HEWA Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua kali sana na vumbi halafu jioni na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia ...
  7. mlinzi mlalafofofo

    Unawezaje kuishi na mtu mtata mwenye gubu mjuzi wa kila kitu mbishi wala haambiliki?

    Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
  8. Komeo Lachuma

    Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  9. KikulachoChako

    Ukitaka kuishi kwenye ndoa yenye furaha na amani fanya hivi kijana.....

    Habari za muda huu ndugu zanguni........ Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha....... Suala la NDOA limekuwa mwiba mchungu sana linalotatiza akili za vijana wengi sana.......kiasi kwamba baadhi...
  10. Shooter Again

    Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

    Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka...
  11. B

    Watu unawezaje kuishi kwa mshahara wa lakimbili na nusu Bila marupu rupu

    Life La Dsm linafurahisha sana mshahara unaishia "kwenye malazi na makadhi" hapo hatujaweka mavazi😂hapo bado mupenzi hajaomba chochote kitu
  12. Damaso

    Polisi jifunze namna bora ya kuishi na jamii

    Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
  13. dalalitz

    Mchakato wa kutuma maombi ya kuhamia Marekani kwa kuishi na kufanya kazi unaanza rasmi leo

    Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki. Ni rasmi sasa DV-2026...
  14. G

    Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  15. BARD AI

    CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  16. mdukuzi

    Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

    Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu, Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja. Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo yasiyo na hadhi. Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au Mburahati Nimeshangaa sana...
  17. God Fearing Person

    Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  18. M

    Ukiwa kijana usikubali kuishi kijijini

    Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza kusuport kuishi na kuongezeka kimaisha, Ila vijiji vingi vina matatizo ambayo hata wewe ukiamua...
  19. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  20. Last_Joker

    Teknolojia ya Kesho: Je, Upo Tayari Kuishi na Robot?

    Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na hivi sasa tupo katika kipindi ambacho robot haziko tena kwenye maabara pekee, bali zinaingia kwenye...
Back
Top Bottom