Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa.
Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee
kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali.
Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science.
Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine.
Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka.
Koo kubwa zote zenye nguvu...
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW
Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
"A good woman is not one size, women say"
"Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua.
Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us!
Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
By Kelvin Kagambo
Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao.
Haiingii Akilini Polisi wa...
Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikishirikiana na Idara ya Kuondoa Umaskini ya Wizara ya Fedha na Mipango mwaka 2017 – 18 unaonyesha kuwa...
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
Habari,
Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili?
Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
NIMEENDE LEO KANISANI MHUBIRI AKANIITA "YESHURUNI" NIKALIA SANA.
Anaandika Robert HERIEL
Yule Shahidi,
Ole wangu Mimi ikiwa nimekuwa Yeshuruni, nitatengwa na Mkono wangu utatupiliwa mbali, ingawa najua wengi wenu hamumjui huyo Yeshuruni ni Nani.
Leo nikalisogelea lango la Kanisa ikiwa ni muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.