KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO!
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa ndio maana kinachukulia mambo kiholela, yaani mambo rahisi rahisi. Wazazi wanalojukumu la kuwaachia...
Habari!
Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
Kwema Wakuu!
Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali.
Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu, kuwaswaga na kuwakarangiza.
Mimi sioni tatizo katika Jambo hilo Kwa kweli.
Unaweza jitahidi kuwaonea...
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana
Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Fadhili Mpunji
Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa kutokana na virusi vya aina mpya vya Omicron, ambavyo vimetajwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:-
Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama hawawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.