kujamba mbele ya mpenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

    Habari Baada ya Asubuhi, Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi! Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati...
  2. JamiiForums Tanzania Kupumua(kujamba) mbele ya mpenzi wako, hii ikoje?

    Wakuu Kama swali linavyouliza hapo juu! Kwa upande wangu mim naona hii haijakaa sawa, awe ni mpenzi wangu au ni mke wangu, Kama amekaa kwenye mazingira yenye utimamu Basi ni lazima azingatie faragha, huwezi kupumua mbele ya mtu wako wa karibu au hata mume/mke wako. Binafsi mim ukifanya hvyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…