Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
833
Reaction score
933
Habari Baada ya Asubuhi,

Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi!

Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati Mbaya.

Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau, nashindwa kuelewa hili suala. Msaada wenu huenda maoni yenu kwangu yakawa yananipa majibu.
 
Habari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Huenda seal za kudhibiti ushuzi zimekata
 
Kwa upande mmoja sio sawa na Mimi mwanzo ilikuwa hivyo kwa mke wangu wakija kaka zake hajambi wakiondoka anakufanyia makusudi nikampa ushauri kabla ya kwenda bedi nenda kajisaidie tulale vizuri badae nikafanikiwa akawa ameacha tabia ya kijinga kwanza me nikalala na mwanamke akiwa anajamba Jamba nasepa unalala na Manzi ameshiba ndindi
 
Habari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Wewe ndiye mwenye matatizo mkuu. Wanandoa kujambiana ni suala la kawaida sana. Kama wewe unajibana mbele yake, una matatizo. Kujambiana kunaongeza upendo na kuimarisha ndoa.
 
Habari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Hahahaa. Kuna watoto/wajukuu zangu wanakuja kunishtakia eti shabani amenijambia. Nami huwa ninajibu; sasa na wewe nenda kamjambie mara nyingi na kwa nguvu zaidi.
Mkuu, (samahani lakini) naomba kujua umri wako tafadhali.
 
Back
Top Bottom