Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

Na hii ni nzuri sana katika mapenzi. Sio mnakuwa mnaogopana kupita kiasi hapana
Kitendo cha kujamba ni chema sana kwani:
1. Ni ishara wazi kwamba Tumbo linafanya kazi yake ya kuchakata chakula kwa ukamilifu -vizuri.
2. Ni njia sahihi ya kuondoa hewa (gesi) tumboni na kuepusha tumbo (stomach)na utumbo (intestine)kujaa hewa na kusababisha tatizo la Bloat.
3. Ni ishara wazi (Kama ulivyobainisha hapo) kwamba mtu anakuwa yupo huru kabisa akiwa na yeye sio eti mpaka faraghani.
NB: Kwa kweli umemjibu mtoa mada kitaalam zaidi ila sijui kama atakuelewa.
 
Habari Baada ya Asubuhi,

Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi!

Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati Mbaya.

Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau, nashindwa kuelewa hili suala. Msaada wenu huenda maoni yenu kwangu yakawa yananipa majibu.
Ndoa zina mengi hadi vijambo vipo mimi najua kuwa swala hilo kwasababu linahusu sehemu nyeti basi lifanywe kwa ustarabu unless labda kimemponyoka,ila apunguze mazoea kakuzoea kiboya wazungu wenyewe wakijamba wanasema sorry maana unakuta kimemponyoka.
 
Kutoa hewa chafu ni tukio la kimaumbile kwa binadamu lakini si uungwana au ustaarabu kutoa hewa hiyo kwa makusudi mbele za watu kwa kisingizio cha kuwa huru au kipimo cha mapenzi......

Kumnukisha mtu hewa chafu kwa makusudi kabisa so jambo la kiungwana kwa upande wangu otherwise iwe bahati mbaya.......

Mimi binafsi siipendi hali iyo na niliikemea kwa mke wangu......
 
Ndoa zina mengi hadi vijambo vipo mimi najua kuwa swala hilo kwasababu linahusu sehemu nyeti basi lifanywe kwa ustarabu unless labda kimemponyoka,ila apunguze mazoea kakuzoea kiboya wazungu wenyewe wakijamba wanasema sorry maana unakuta kimemponyoka.
Huwa hawachukulii kama ni serious issue kama ss waafrika.
 
Habari Baada ya Asubuhi,

Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi!

Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati Mbaya.

Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau, nashindwa kuelewa hili suala. Msaada wenu huenda maoni yenu kwangu yakawa yananipa majibu.
Picha yake Tafadhali
 
Back
Top Bottom