mahusiano ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

    Habari Baada ya Asubuhi, Leo sina Mada ndefu sana, nataka kujua nina mke wangu anapenda kunijambia wakati nimekaa, huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi! Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba! Napata wakati mgumu sana au huyu mwanamke sio wangu nimeoa kwa bahati...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Mi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor. Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye kimsingi sikuwa na mpango wa kumuoa kwani nilikuwa na mchumba wangu mwenye mashauzi wa Kimeru...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Njia za kukabiliana na mwanamke ambaye hana heshima kwa mume wake

    Bila kujali upo kwenye ndoa, uchumba,au mahusiano ujumbe huu unakwenda kukusaidia kukabiliana na migogoro ya kimapenzi ndani ya familia ambayo inaweza kusababishwa na Mwanamke ambaye hapendeki, wala hana heshima kwa mume wake. maelezo ya ziada soma kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni kiuongo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya ndoa

    Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kwenye sheria za ndoa ili kuwapa motisha vijana wafunge ndoa (sio kuoa) kwa wingi zaidi?

    Mwanasheria anasema, kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti, binafsi yake hapendelei kufunga ndoa sababu ya ‘repercussions’ endapo mtagombana. Anasema ni bora uwe na ‘X’ kuliko kuwa na ‘Mtalaka / Mtaliki’. ===========================...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya ndugu yanaharibika wakiingia katika ndoa

    Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka. Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Back
Top Bottom