Njia za kukabiliana na mwanamke ambaye hana heshima kwa mume wake

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Bila kujali upo kwenye ndoa, uchumba,au mahusiano ujumbe huu unakwenda kukusaidia kukabiliana na migogoro ya kimapenzi ndani ya familia ambayo inaweza kusababishwa na Mwanamke ambaye hapendeki, wala hana heshima kwa mume wake.

maelezo ya ziada soma kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI ukurasa wa 170,kitabu kipo na kurasa 283 softcopy toleo jipya la mwezi machi.

MAHUSIANO/NDOA IMARA HUJENGWA NA
-Kuheshimiana, kuwasiliana kwa lugha nyepesi fasaha yenye kueleweka, kujiwekea mipaka na kuheshimu mipaka ya kila mmoja,
-Kubeba majukumu kikamilifu,kila mmoja kutimiza wajibu wake ipasavyo bila kuingilia mipaka ya mtu mwingine.
-Kuthamini mchango wa kila mmoja,kujali haki za kila mmoja.

Mwanamke anaweza kuonyesha dharau, kiburi, jeuri na majivuno kwa kushindwa kumheshimu mwanaume kwa njia zifuatazomoja
Mwanamke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu,dharau, majivuno, kiburi na ujuaji kwa tabia zifuatazo.
1.KUJITAWALA YEYE MWENYEWE/KUTAKA UHURU KUPITILIZA
Mwanamke anaweza kuonyesha tabia ya kutaka uhuru uliopitiliza kwa njia zifuatazo
-Kufanya vitu kwa kujiamulia yeye mwenyewe vile ambavyo anataka,kwenda kuzurura hovyo kwa mashoga zake muda wowote na kurudi nyumbani muda wowote hata saa 8 za usiku
-Kugomea maagizo ya mume kama vile kuvaa nguo fupi zenye kumuacha uchi akiwa mbele ya wageni,au kwenye mitandao ya kijamii.

-Kugomea kupika,kufua, kufanya usafi,kutandika kitanda,kuandaa watoto kwenda shuleni asubuhi,kugomea kumpa unyumba mume wake kwa makusudi kwa lengo la kumtesa na kumkomoa.

-Kulala kutwa nzima bila sababu zozote za msingi na kuporomosha matusi ya nguoni kwa mume wake pale ambapo ataulizwa kuhusu mabadiliko ya tabia zake.

-Kutumia fedha nyingi sana kwa kufuja kwa makusudi kwa lengo la kumkomoa mume wake.
-Kuondoka nyumbani muda wowote kwenda kuzurura na kuwa mkali kupitiliza pale ambapo ataulizwa alikuwa wapi muda wote huo.

-Kusafiri mara kwa mara kwenda nyumbani kwao kwa kisingizio cha kum-Miss mama yake na kukaa muda mrefu sana kinyume na makubaliano na mume wake.

-Kuwa na ukaribu uliopitiliza baina yake na marafiki zake wa kiume,ikiwemo ex wake.kuwasikiliza sana dada zake pamoja marafiki zake kuliko mume wake.

-Kulala muda anaojisikia na kuamka muda anaojisikia bila kujali majukumu ndani ya familia.Na endapo atakemewa kuhusu tabia yake anatishia muachane kwa kisingizio ananyanyaswa.

2.UKALI NA UKOSOAJI ULIOPITILIZA
Mwanamke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kuwa na tabia ya ukosoaji uliopitiliza kwa mume wake.
Ukosoaji uliopitiliza unahusisha kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumgombeza, kumtangaza vibaya,kumpelekesha, kumshutumu, kumdhihaki mume wake mara kwa mara ikiwemo kumwambia "Hauna akili" mara kwa mara na kusema "Hauna HADHI ya kuwa na mimi" kila siku.
-Kumkosoa mume wake mara kwa mara kwa vitu vidogo vidogo ikiwemo uvaaji, ulaji, kutembea,harufu ya mwili, matumizi ya fedha,mawazo ya mume,kumtoa dosari mume wake mara kwa mara kwa kila kitu ambacho anafanya,

-Kuwatukana wazazi ,ndugu na kabila la mume mara kwa mara,kumlinganisha mume wake na wanaume wengine kwa kumfanya mume wake ajione hana akili timamu wala hajui kujiongoza.

-Kuropoka hovyo siri na mapungufu ya mume wake kwa mashoga zake.Ikiwemo kuzitoa dosari zawadi na juhudi za mume wake katika kujenga familia.

-Kufanya makosa mara kwa mara kwa makusudi kisha anageuza kibao kwa mume wake.

3.KUTAKA KUMTAWALA MUME WAKE
Mwanamke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kutaka KUMTAWALA mume wake kimabavu kwa njia zifuatazo.
-Kumuamuru mume amkabidhi ATM card yake ili yeye mke awe anatoa fedha kiasi chochote muda wowote anapojisikia na kupanga matumizi ya fedha za mume.Kutaka mume awe anaripoti matumizi yake ya fedha kila siku.

-Kumpa mume maagizo na kumpangia sheria kali ikiwemo kumpa masharti magumu sana kwamba ikiwa mume hawezi kufuata maagizo hayo basi mke anatishia muachane.

-Kumuamuru mume abadilishe majina ya hati miliki ya mali zake na aandike majina ya mke wakati mke hajashiriki kwa njia yoyote katika kupatikana mali hizo.

-Mke kumuamuru mume amnunulie nguo na zawadi za gharama kubwa sana kuliko uwezo wa mume,mke kumuamuru mume amjengee,ampe mtaji,amchukulie mkopo,amfungulie biashara tena kwa jina la mke .

SABABU ZENYE KUFANYA MWANAMKE ANAKUWA NA KIBURI, JEURI, DHARAU NA MAJIVUNO
Mwanamke anaposhindwa kumheshimu mwanaume wake kuna kuwa na vyanzo vifuatavyo
1.MANYANYASO YAMEZIDI
Mwanamke anapopotia manyanyaso kama vile vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa unyumba, kuingiliwa kinguvu, au kuingiliwa kinyume na maumbile, kulazwa nje au chooni, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane, mfululizo wa matukio ya usaliti na fumanizi za mara kwa mara, kutelekezwa bila huduma zozote.
-Mwanaume kubadilisha hati miliki ya mali za mke bila idhini ya mke,mume kuchukua mkopo kwa kufoji saini ya mke kwenye mali za mke,
-Mwanaume kuzaa nje kisha kulazimisha amlete mtoto wake ndani ya familia
-Mwanaume kuwa na ukaribu uliopitiliza na ex wake.
-Mwanaume kuwa na tabia ya ubabe, kiburi, dharau, majivuno, ukorofi,ulevi kupindukia, matumizi mabovu sana ya fedha, uvivu,uzembe na kufanya makosa yenye kujirudia rudia mara kwa mara husababisha mke anakuwa jeuri,anakuwa na hasira kupitiliza, ubabe,utemi, ukosoaji uliopitiliza kama njia ya kujilinda dhidi ya tabia za mume.

2.SHINIKIZO LA WATU WENGINE
Mke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu kwa sababu anakuwa anapata shinikizo la watu wengine kama vile
-Mama mzazi wa binti anapokuwa na ukaribu uliopitiliza na binti yake anaweza kumjaza maneno ya kumfanya binti awe na kiburi , majivuno, jeuri,dharau na ukali kupitiliza kwa sababu binti akifanya makosa tu mama yake mzazi anakinga kifua kumtetea.

-Dada zake pamoja na mashoga zake.Mwanamke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu kwa sababu anapata shinikizo la dada zake,au mashoga zake wanamjaza maneno kwamba anajizeesha kuishi na mume wake kwa sababu ya muonekano, lafudhi, elimu,hali ya uchumi,afya, historia,kabila la mume hivyo wanamjaza maneno kwamba huyo sio mume wa HADHI yake hivyo afanye vituko ili waachane.

-Shinikizo la mwanaume mwengine.
Mwanamke anaweza kuonyesha utovu wa nidhamu kwa sababu anapewa kiburi na mwanaume mwengine labda ex wake,au binti amepata mwanaume mwengine ambaye yeye binti anamuona ni mwanaume wa HADHI yake hivyo binti huanza kufanya vituko mara kwa mara ili uibuke ugomvi mahusiano yavunjike.

UFUMBUZI WAKE
Namna ya kukabiliana na utovu wa nidhamu wa Mwanamke.
1.NJIA AMBAZO HAZIWEZI KUSAIDIA CHOCHOTE

Migogoro, malumbano, majibizano, kutukanana, kudharauliana, kushutumiana,kupeana kashfa na vitisho vya kuvunja mahusiano huongezeka pale ambapo mwanaume atatumia njia zifuatazo

-Kuomba msamaha mara kwa mara,kupiga magoti, kutishia kujiua, kumbembeleza sana, kumwambia asije kumuacha,kumpa ushauri,kumpa tahadhari, kumkumbusha wema umefanya zamani,kuweka visingizio juu ya tabia zake.Njia hizo husababisha Mwanamke anakuwa na kiburi, majivuno, jeuri na dharau kwa kuamini kwamba hauwezi kuishi bila yeye, hauwezi kumuacha hivyo atarudia makosa kwa makusudi kabisa kisha anageuza kibao kwa mume wake kwa sababu tayari binti ameshakuwa na uhakika kwamba anapendwa sana.

2.NJIA ZINAZOWEZA KUKABILIANA NA UTOVU WA NIDHAMU WA MWANAMKE
-Kubeba majukumu kikamilifu.Mke akigoma kupika, kufua, kufanya usafi, kutandika kitanda,kuandaa watoto kwenda shuleni, kugoma kutoa unyumba epuka kumbembeleza, kumpa ushauri,kumtishia kumuacha badala yake beba majukumu wewe mwenyewe.Ingia jikoni pika,fua,fanya usafi,andaa watoto waende shule,acha kumuomba unyumba.Ukionyesha kwamba uwepo wake au kukosekana kwake hakuathiri maisha yako kwa namna yoyote ile kiburi chake huondoka.

Mwanamke hupata kiburi , majivuno, jeuri na dharau kwako kama anajua unampenda sana na unamuhitaji ili uwe na furaha.Kama akiona upo na furaha na maisha yako yanaendelea vizuri bila kujali uwepo wake anagundua kwamba hana umuhimu mkubwa maishani mwako tofauti na umuhimu mkubwa sana ambao alidhani yupo nao.

Hata ofisini -wafanyakazi hupata kiburi cha kufanya mgomo kama wanajua kwamba hakuna watu wengine ambao wanaomba nafasi hizo za ajira.Kama mfanyakazi anajua akifanya mgomo anafukuzwa kazi moja kwa moja adabu inakuja.

-Akigomea maagizo yako mfano amejenga ukaribu uliopitiliza na marafiki zake wa kiume au ex wake.Mwambie aendelee na hao marafiki zake au arudiane na ex wake.Wewe kaa pembeni.
-Kama anapost picha za utupu kwenye mitandao mpe onyo akiwa jeuri mwambie aendelee na hao wanaume wa mitandaoni ambao anawaonyesha uchi wake.

-Akitoroka kwenda nyumbani kwao acha kupiga simu,acha kutuma sms,acha kuuliza hali yake.Kaa kimya endelea na kazi zako.Ukimfuata nyumbani kwao kiburi, majivuno, jeuri na dharau vinazidi kwa sababu anajua hauwezi kumuacha wala hauwezi kuishi bila yeye.Binti ambaye anakaa kwao muda mrefu sana wakati yupo na mume huwa anapewa kiburi na mama yake mzazi hivyo mwambie akae na mama yake mpaka akili ikae sawa.Tafuta Mwanamke mwingine azibe pengo lake haraka.Ofisi haibembelezi mfanyakazi ambaye anatishia kuondoka.

-Mwenza wako akitaka kwenda sehemu ambayo umepiga marufuku mwambie akitoa mguu asirudi,achukue na mabegi yake .

-Mwenza wako akionyesha tabia za ubabe, ukatili, udikteta, ubishi, utemi, udhalilishaji,akiwa haambiliki, hashauriki,akiwa mjuaji,akiwa hataki kuambiwa makosa yake, zingatia kwamba Mwanamke ambaye anataka kuishi kwa uhuru uliopitiliza na kujiamulia vitu vile ambavyo anataka yeye hastahili kukaa na mume.Mwanamke ambaye hawezi kutii,wala hawezi kuheshimu mamlaka ya mume anatakiwa ajitegemee kwa kila kitu.

Acha kumhudumia,acha kumlinda,acha kumtetea,acha kuweka visingizio juu ya tabia zake ilimradi hataki kutii na kuheshimu mamlaka ya mume.Acha ajiamulie vile ambavyo anataka yeye kisha aje kuwa feminist aanze kujipa majina ya strong independent woman, super woman, wakanda forever, Mwanamke wa shoka.haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.

#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
🤺🤺

Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000

Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini 👇

Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000

Mawasiliano
+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam
 
Concentration tu na maisha yako ishi kama vile yeye hayupo fua nguo zako, pika chakula chako, usfanye naye mapenzi, usimsemeshe, ikibidi hemea vinavyowezekana kama mchele, unga nk weka ndani ksha kausha, lala nje ikibd mara moja moja.
 
UNDERSTANDING WOMAN PSYCHOLOGY

The more men learn and know female nature because we can never completely understand human nature either man or woman, the lesser the rates of breakups and divorces.
This post will help you know more about female nature.
Every Man Should Know 🧵

1. Women dont talk just for talking sake

Men talk to solve problems and reach solutions. Men communicate to exchange information—to find solutions, fix things, or achieve a goal.

Women communicate to connect emotionally.
If a woman is venting about a problem, she might not really always want a solution—she just wants to be heard.
When you try to fix everything immediately, you break the emotional connection.

She doesn’t want your logic—she wants to feel understood.

2. Women are turned on by men who truly hear,listen and know how to keep conversation with them.

Most men talk to women with the goal of impressing them. But women don’t get attracted to men who just list their achievements they get attracted to men who make them feel deeply understood.
A man who listens, pays attention, and responds to what she’s truly feeling will make her feel safe and emotionally connected.
And emotional connection is the key to attraction. So learn to listen from today.. Amen?

3. If a woman is having fun, laughing, and feeling good, she may want intimacy.

Attraction for women is all about emotions.
If she’s excited, enjoying herself, and fully engaged, her attraction for you will skyrocket.
This is why humor, playfulness, and making her feel alive in the moment are far more powerful than looks,gifts or money.
The more she associates pleasure and fun with you, the more she will crave your presence.

5. Logic controls most of your actions, but emotions control hers.

Men make decisions based on facts, strategy, and logic.
Women make decisions based on how they feel at the moment.

This is why a woman can tell you she loves you one day, then lose attraction the very moment she said that; her feelings have shifted,they always have mood swing as they called,but not because she's confused rather you're not paying attention.
If you expect women to be consistent in their emotions like men, you will always be disappointed.
The key is to focus on how you make her feel in the present moment because that’s what drives her behavior.

6. Women don’t naturally like boring guys.

A man who is predictable, routine, and has no sense of adventure will lose a woman’s attraction quickly.
Women crave excitement, mystery, and emotional stimulation,surprises
This is why men who can tease, challenge, and keep a woman emotionally engaged will always have an advantage score.
A woman doesn’t want to know exactly what you’ll say or do next, she wants a man who keeps her guessing. However learn to be unpredictable by working on yourself.

7. Expect a woman to change her mind at any moment.

Women live in the moment.
One day, she might be deeply in love. The next moment,she might feel completely different.
If you react emotionally to this, you’ll destroy her attraction.
A strong man accepts that female emotions are fluid and doesn’t let it shake him.
She wants a man who is unaffected by temporary emotional shifts,so don't be too emotional when dealing with them.

8. A woman cannot remain sexually attracted to a man she feels is less powerful or too equal to.

Women are attracted to men who are above them in power, status, and confidence.
If she feels like she’s more dominant, more in control, or more ambitious than you, her attraction will disappear.
This is why playing the “nice guy” or acting submissive never works,meanwhile you aren't expected to be submitted to her but to love her.
Women want a man who leads, takes charge, and has his own mission in life not the one she had to correct on everything in life. Yes she can correct you when you make mistakes but don't act like a baby of 2-3 years she had to correct every now and then.

9. A woman’s experience is that, a man who listens to her will understand her.

Men assume that logical reasoning builds connection.
Women feel connection when they are heard and emotionally understood.
This is why the most attractive men are those who truly pay attention, understand her emotions, and respond accordingly.
It’s not about agreeing with everything she says—it’s about showing her that you get her.

10. Women are turned off when you’re desperate.
Neediness is the biggest attraction killer.
When a man seeks validation, approval, or chases too hard, he lowers his value in a woman’s eyes.
Women are naturally drawn to men who are already fulfilled, confident, and don’t need external validation.
The moment she senses that you’re desperate for her attention, she will lose respect for you.
This is why the most desirable men are those who prioritize their purpose, their goals, and never make a woman the center of their world,she can be your world and not the center of your world.

Hope you find it Helpful because my focus here is to help you build confidence and learn how to treat women
 
Tabia za Wanawake wa Kizungu hizo.

Huwezi ukamkuta mwanamke wa Kiafrika na upuuzi huo. Labda awe amezaliwa nchi ya wazungu.

simu hazipatikani.
 
Mwanamke akikutesa, ujue wew Mwanaume hujitambui,
Kinyagobumekichonga wew kikutishe kaka,
Mpaka unapiga simu kwa 30k na unanunua vitabu? Seriously 😅
Kweli umaskin mbaya
 
Back
Top Bottom