BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU.
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha.
Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika.
Akizungumza na wananchi wa...
Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami.
Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze.
Je, mkandarasi alishapatikana?
Je, ujenzi unaanza lini?
Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi
Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
"sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria
Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao.
Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
Mwananchi Communications Limited
Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda.
Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
Ni vema tukaweka sawa hizi kumbukumbu, Hospitali hiyo ya Lindi inayozinduliwa leo na Rais Samia ni mipango ya Mwl Nyerere na ujenzi wake ulianza 1978.
Wala halikuwahi kuwa wazo la awamu ya 6, Mradi mkubwa sana ulioanzishwa na Awamu ya 6 na ambao utakumbukwa milele kwa kuwakutanisha akina Ally...
Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola.
=====
African Union now a permanent G20 member
The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday.
There was...
Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram
"Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER."
"Kitakuwa na sifa zifuatazo;
1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000
2. Eneo la maonesho lenye...
Kwa ufupi sana
Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne.
Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga barabara na wakihoji kuhusu mkandarasi anayejenga kakipande kasikofika hata km 1 ambapo anaifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.