HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar.
Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...