kujeruhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ajali yaua watu watatu na kujeruhi 36 Tanga

    Watu watatu wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha Lori lililobeba wafanyabiashara waliokuwa safarini kwenda Handeni mkoani Tanga kwa ajili ya mnada. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Handeni, Dr. Hudi Shehdadi amethibitisha kupokea miili ya watu watatu na majeruhi 36 huku akieleza majeruhi...
  2. JanguKamaJangu

    Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

    Kundi la watu wanaokadiriwa kuwa 8 usiku wa kuamkia Juni 4, 2022 wamevunja nyumba moja iliyopo Mtaa wa Bomani Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani na kufanya ukatili wa kubaka, kuiba vifaa vya ndani na kujeruhi kwa mapanga na kutokomea kusikojulikana Wahalifu hao walifunga komeo kwa nyumba za...
  3. EL ELYON

    Naomba ushauri ndugu yangu kapata Kesi ya Kujeruhi

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Ndugu yangu anatuhuma za kesi ya KUJERUHI ambayo anasema ye hakuhusika Ila kuna rafiki yake ndiye kahusika. Kwani wakati tukio linatendeka ye hakuwepo Huko alikuwa wilaya nyingine NDIPO jamaa akachomwa kisu cha mgongoni sasa nduguze...
  4. Papaa Mobimba

    Jengo laporomoka Uganda na kuua na kujeruhi watu wengi

    Watu wasiopungua 6 wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine wengi wanaaminika bado wako chini ya kifusi baada ya jengo moja lililokuwa linajengwa kuporomoka huko Kisenyi nchini Uganda. Salim Uhuru, mkuu wa timu ya uokoaji amesema kuwa, miili ya watu sita imetolewa kwenye kifusi na kupelekwa...
  5. Mkalibari

    Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
Back
Top Bottom