Watu watatu wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha Lori lililobeba wafanyabiashara waliokuwa safarini kwenda Handeni mkoani Tanga kwa ajili ya mnada.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Handeni, Dr. Hudi Shehdadi amethibitisha kupokea miili ya watu watatu na majeruhi 36 huku akieleza majeruhi...