UKIPITIA POST HIZI UTAWEZA KUTAMBUA NAMNA WATU WANAVYOWEZA KUBUNI MBINU ZA UJASIRIAMALI KILA KUKICHA
Jamani hii tabia mpya, post ya Inosent
Watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena...