Katika hili lazima tuwe wawazi.
Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani.
Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa kuendesha bodaboda. Jamani hata serikali ina support kujiajiri kwa namna hiyo.
Hii ndio sera...
Wakuu habari ya saivi?
Leo nimekaa nikapata hili wazo. Asilimia 89% ya watu wanatafuta ajira humu ndani ni watu ambao wana proffesional zao nzuri. Mfano : Humu kuna Engineers, Technicians na wahasibu
Sasa hivi hawa watu ( Engineer + Technician + accountant) wakiungana si wanaweza wakaunda...
Hello JF,
Kwanza poleni na msiba(may he RIP)
Leo ningependa kujua apart from kilimo ambacho huwa mnasema humu,Je ni maeneo gani mengine ambayo mtu anaweza kujiajiri?
Hii itatoa mwanga sio tu kwa watu wanaohangaika na ajira,
bali hata wanaounda mfumo wetu wa elimu,iwe kama pointer masomo gani...
Habari za leo wakuu,
Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya.
1. Bachelor of Commerce
2. Bachelor of Computer Applications
3. Bachelor of Commerce
4. Bachelor of Business Administration
Sasa wakuu kati...
Hello JF,
Msinicheke ila leo nimewaza kwa nini sisi wana JF tusijaribu hii nadharia inayosemwa kila siku watu wajiajiri kupitia kilimo?
Najua JF tulishawahi kuwa na kitu kama hiki ila ilikua kwa baadhi ya watu, sijui ilipata changamoto gani?
Graduates ni wengi sana.
Arable land ni kubwa tu...
Hii ishu imesemwa sana lakini naomba nirudie. Serikali yetu imeajiri watu kama laki tano tu usipojumlisha wanajeshi na polisi. Sehemu kubwa ya hao, kama asilimia 50 ni waalimu.
Ukiangalia hapo hata serikali ikisema iajiri watu kadri inavyoweza haitaweza kutatua tatizo la ajira.
Serikali...
Elimu siku hizi ni ile bora ni graduate mjomba atanisaidia nipate kazi.
Kwanini nasema hivyo, nimeenda na kuona interview nyingi sana baadhi ya wahitimu wanaokuwa wamemaliza hawana uelewa wa walichosomea kutokana na ile kukaririshwa.
Mfano niliwahi sikia chuo fulani lecture fulani akitunga...
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri.
Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
Mazingira ya kuajiriwa ama kujiajiri Tanzania ni magumu sana.
Kwanza, Serikali imehodhi shughuli karibu zote za kiuchumi, leo kandarasi zote za ujenzi wa ofisi za umma inapewa TBA, NHC, Ardhi University au taasisi nyingine za umma. Kwenye ufundi wa vyombo vya moto na elektroniki ni TEMESA...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana msijidanganye;
Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa.
Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya...
Habari,
Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu.
mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo:
Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
Mmoja kati ya wachumi duniani anasema tupo katika Enzi ya Taarifa ‘Information age’ (O’Connor, 2005) kwa kiasi kikubwa huyu bwana ameonyesha namna ambayo taarifa zinavywaajiri watu. Katika hilo amezungumzia zaidi technolojia na mapinduzi yake tangu mwaka 1946 ilipoanza ENIAC Kwa kiasi kikubwa...
Habari za asubuhi;
Kama kawaida huwa kuna maamuzi mengi magumu ya kufanya katika maisha,baadhi yake ikiwa ni uamuzi wa ama kujiajiri au kuajiriwa.
Uamuzi au uchaguzi huu mara nyingi haufanywi na mtu kwa hiari yake bale husukumwa na circumstance pamoja na fursa.Wengi wa waliojariwa ni kwa sababu...
Habari wakuu,nishaurini kozi nzuri ya kusomea VETA kati ya zifuatazo au kama kuna nyingine nzuri zaidi mniambie kuna ndugu kaomba nimshauri
- Electronics
- Leather goods and shoe making
- Auto body repair
- pre-press and digital making
- Heavy duty mechanics
- Motor vehicle mechanics
-...
Binafsi naelewa hakuna Serikali yoyote duniani ambayo haitaki kuajiri vijana wake Kama fursa zipo. Kwa Tanzania ya Sasa budget zake toka 2016 asilimia nyingi ya fedha zinapelekwa kwenye miradi ya Maendeleo. Ndio maana tunaona miradi mingi mikubwa ikitelelezeka nchini. Tunachopaswa kukifanya Sasa...
Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari.
1.Marine Survey
Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri
Inafahamika kuwa ukosefu wa ajira ni tatizo si kwa Tanzania tu bali hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani. Kwa hapa Tanzania limekuwa si tatizo bali ni janga kubwa ambalo hakuna anayelitafutia ufumbuzi wala kulitupia macho. Itakumbukwa kuwa siku za nyuma...
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.