Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business.
Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa:
• Book Keeping
• Commerce
• economics
• Computer Studies
Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
Habari zenu JamiiForums.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mawazo mbali mbali ya kujiajiri kwa vijana waliomaliza chuo, wa kike na kiume, naimani uzi huu utasaidia wengi, kwahiyo sitegemei masuala ya una ujuzi gani, kama wewe una idea ya juzi wowote leta utasaidia mtu.
Naomba...
USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
Habari wana JF,
Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu)
Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe
Vijana hao wawe na Sifa zifuatazo
1. Sifa ya msingi; Angalau awe na elimu ya shahada ya kwanza
2. Awe ana...
Because wengi wao they don't know how to run a business in general
Kuna watu ambao wako really good at what they do, and have a wealth of knowledge in their field. Na unakuta kiasi kwamba, the company they work for zinamafaniko kwasabab yao na ukute bila wao mambo hayaendi. Lakin sasa kuanzisha...
Ndugu yenu wa damu naomba kupingwa na kuelekezwa kwa upole na kwa fact.
After graduation mdogo wenu hapa nikapata sehemu ya kujishikiza Mimi ni mwalimu Physics na chemistry nikawa nalipwa 250k -300k huku nikipewa nyumba ya shule na huduma kama chakula cha mchana na asubuhi.
Maisha Yale...
Je Umewahi kusikia kuhusu Wordpress?
Kama hujawahi basi ni kujuza tu kwamba wordpress ni content management system(CMS) kwa ajili ya website.CMS ni mfumo maalum ambao unamwezesha mtengenezaji wa tovuti kusimamia maudhui ya tovuti yake kwa urahisi.Wordpress ni nzuri sana kwa kusimamia blogs...
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke)
Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa...
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache
Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi
Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
Kumekuwa na matangazo mengi ya kutafuta wenza/wachumba siku za karibuni kupitia majukwaa mbalimbali. Sifa zinazoainishwa kwa muhitaji, mojawapo ni kipengele cha kazi; atasema anataka mwenza aliyejiajiri au aliyeajiriwa.
Kwa mtazamo wangu, katika mazingira hayo, mi naona muhitaji anayetafuta...
Wanajukwaa,
Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.
Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia...
Salaam! Kwa Wote.
Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi.
Vijana wa kitanzania bado wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa kwenye sekta ya ajira takwimu...
Mdau mmoja amejiajiri na anaweza kupata sio less than 1m monthly. Wazazi hawaelewi wanataka aombe ajira. Yeye binafsi ndoto yake ni kuniajiri kwa sababu ya ujuzi wake na competence anaamini atacompete katika secta husika. Wazazi wanamuona kama failure maana emetokea katika jamii inayoamini title...
Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner)
Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu
KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED
Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
Nianze kwa nukuhu ya Bwn.Lewis Carroll, ambaye alipata kunena kwamba “If you don't know where you are going, any road will get you there”. Kwa maana kwamba kama hujui unakoenda, njia yoyote itakufikisha!
Nimeamua kutumia kunuhu hiyo kuiangazia elimu inayotolewa nchini Tanzania kuanzia ngazi ya...
Jifunze kutengeneza sabuni ya kipande ndani ya nusu saa bila kutumia mashine. Jifunze sabuni zaidi ya 10 ikiwemo sabuni ya udongo,ya ukwaju, ya Asali, ya liwa, ya manjano, ya kahawa, ya habat sauda, ya mchele, ya mawingu n.k. Kujifunza kwa whatsapp(video) elf 20.Kujifunza kwa ana kwa ana elf 50...
Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya mwaka 2012 asilimia 77% ya watanzania wanaumri chini ya miaka 35 na asilimia 19% kati ya hao wanaumri wa miaka kati ya 15 – 24.
Kiasi cha ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana hao (wenye umri kati ya mika 15 – 24) ni asilimia 13.4% ambapo hali ni mbaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.