Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...