Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza na huku pia!!
Nilichogundua watu wanakatisha tamaa sana iko hivi wewe unavaa socks za 1000 ni wewe...
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake.
Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;-
Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha.
Na wengine wapo wenye uwezo wa...
Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini.
Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.