Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO.
Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani .
Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi.
Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya.
Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili.
Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu...
Mpo wazima!
Awe Chawa wa CHADEMA!
Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule.
Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani.
Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni.
Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
Friends and Our Enemies,
Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam..
https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake.
Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!?
Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.
Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa pamoja. Ila linapokuja swali la uhuru upi upewe kipaumbele, jibu linakua gumu na si la moja kwa moja...
Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania, MISA TAN, imeanzisha tuzo maalumu kuwatunukia Watanzania wenye mchango ulio bayana katika uhuru wa kujieleza nchini.
Tuzo hiyo itakuwa ikitolewa kila mwaka kwenye kongamano lake la kila mwaka ka Uchechemuzi wa Hali ya Uhuru wa Kujieleza...
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari Mkongwe mbaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (East Africa Press...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma.
Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini...
WAMILIKI MABASI YA SAULI NA NEW FORCE WATAKIWA KUJIELEZA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA ZA KIUDHIBITI
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefanya kikao kilichohusisha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na wamiliki wa mabasi ya Sauli na New Force yaliyosababisha ajali ya tarehe...
Habari Wakuu,
Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania.
Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na;
1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa
2. Amehudhuria Mahakamani mara 159
Unaweza kumsikiliza hapo chini
Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023.
Oktoba...
Waziri Mhagama Awahimza TAMWA Kuwekea Mkazo Ajenda ya Uhuru wa Kujieleza Unaojumuisha Sauti za Wanawake
Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya ajenda ya jumla ya haki za binadamu...
Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza.
Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.