Habari za asubuhi wana jamii..
Kuna jambo naomba kuuliza ama kushirikishana na nyie.. Naomba nianze kwa stori kidogo..
1. Siku moja nilikuwa napiga story mbili tatu na mzee flani mtaani. Tuliongea mengi hasa siasa, kuna baadhi ya section nikijaribu zungumzia anasema, kijana nyamaza usiskike...